AFYA VERIFY
AFYA VERIFY · UHAKIKI WA TAARIFA

Hakiki Madai ya Mtandaoni

Umeona taarifa ya afya kwenye WhatsApp, TikTok, Facebook au tovuti? Usiiamini wala kuisambaza bila kuichunguza.

01

1 · Chunguza kauli sasa

Nakili maneno halisi ya dai la mtandaoni. Utapata tathmini ya AWALI; si uthibitisho wa vyanzo vya post.

02

2 · Tuma link kwa mapitio ya timu

Tuma link na maelezo, au picha ya post. Timu itapitia vyanzo; hakuna hakiki ya link kiotomatiki.

⚠ Usiweke taarifa za siri za mgonjwa au za mtu mwingine. Hatufungui link kiotomatiki na majibu ya AI hayahesabiki kuwa yamepitishwa na clinician.

Maudhui yaliyowasilishwa yatasubiri mapitio. Hakuna uhakika wa muda wa majibu.