AFYA VERIFY
Preventive health screening

Fahamu NCD risk factors zako

Jibu maswali machache kuhusu mtindo wa maisha na vipimo ulivyonavyo. Hii ni risk-factor screening, si diagnosis wala prediction ya asilimia ya kupata ugonjwa.

Assessment hii inaangalia maeneo muhimu ya afya

β™₯Moyo & stroke
β—ˆKisukari & metabolic
β—‡Figo
β—ŽMapafu & exposure
β†—Lifestyle
01

Taarifa za msingi

02

Vipimo ulivyonavyo

Je, mzazi au ndugu wa karibu ana historia ya pressure, diabetes au ugonjwa wa moyo?
Je, umewahi kuambiwa na mtoa huduma kuwa una shinikizo la damu?
Je, umewahi kuambiwa kuwa una kisukari?
Je, umewahi kuambiwa cholesterol yako iko juu?
Je, umewahi kuambiwa sukari yako iko juu au una prediabetes?
03

Lifestyle na historia

Je, kwa sasa unatumia tumbaku?
Je, matumizi yako ya pombe mara kwa mara huwa mengi au yanakusumbua?
Je, mara nyingi unaongeza chumvi mezani au kula vyakula vyenye chumvi nyingi?
Je, unakunywa soda/juisi zenye sukari au vinywaji vitamu karibu kila siku?
04

Mazingira, dawa na exposure

Je, una-exposewa mara kwa mara na moshi wa kuni/mkaa, sigara ya mtu mwingine au moshi wa ndani?
Je, kazi yako ina vumbi, moshi, kemikali au fumes mara kwa mara?
Je, unatumia dawa za maumivu kama ibuprofen/diclofenac mara nyingi kwa muda mrefu bila review?

β—† Hatuombi jina, simu au anuani. Matokeo haya si diagnosis.